The words you are searching are inside this book. To get more targeted content, please make full-text search by clicking here.
Discover the best professional documents and content resources in AnyFlip Document Base.
Search
Published by vish.sharda, 2018-06-20 14:26:39

Ubuntu

Swahili

Ubuntu!
by Tale Weavers

Weaving tales,
breaking stereotypes

TALETM Tale Weavers is an initiative that aims
to engage with children and the youth
weavers through stories that challenge stereotypes
and break the barriers in creating a just
weaving tales, breaking stereotypes society.

We welcome you to our world of stories
where simple conversations, colorful
illustrations, and powerful characters
help break the stereotypes and create an
inclusive learning space which is free
of bias - be it gender, religion, race,
nationality or ethnicity.

This story is part of Tale Weaver’s
collaboration with Alt Cricket
Foundation.

Ubuntu!

Story: Nanditha Ravindar
Illustrations: Vini Agarwal
Edited by: Kirthi Jayakumar

Ilikua siku yenye

mwangaza wa jua na joto
jingi nje.
“Caro!Priscilla!Kujeni
haraka.Wacha tucheze
kandanda,”William
akanena kwa kwa
sauti na furaha.
Wikendi tulikua na
furaha!”Caro!Priscilla!
Caro na Priscilla walikua
na wanaishi eneo
moja na William. Na
walikua marafiki wa
wa karibu.

Caro na Priscilla walikua na umri wa miaka kumi na

William alikua na umri wa miaka kumi na moja.Wakati
William alikua mgeni maeneo yale alikua na haya na
hakua na marafiki. Lakini baadaye kidogo akakutana
na Caro na Priscilla ambao walikua wazuri kwake. Pole
pole wakaanza kucheza pamoja na wakakuwa marafiki.
Wote wanapenda kucheza kandanda. Iliwapa furaha
sana! Mara nyingine walienda shuleni pamoja, hata
kama hawakua darasa moja.

Caro alitoka nje,kwa furaha kumuona William. Ilikua

kifani siku zote kucheza na William na Priscilla.

Lakini Priscilla alikua wapi?

Priscilla yuko wapi?Caro aliuliza.

"Pengine analala" Wacha tuende tuone,"William alijibu.
Wote walienda nyumbani kwa Priscilla wakamuita.

Dakika chache baadaye Priscilla alitoka nje. "Sijihisi

kucheza leo. Sitaki kuja,"aliwaambia.

Alionekana mwenye
huzuni. Kwa kawaida
alikua mwenye furaha na
mchangamfu. Kwa hivyo
walijua kuna kitu kibaya.

"Kwa nini waonekana
mwenye huzuni,Priscilla?
Caro aliuliza.

M“ walimu wangu

aliniadhibu Jana kwa
kutomaliza kazi ya ziada.

Nilisahau kuhusu kazi
ya ziada,kama si hivyo
ningemaliza kazi ya ziada.
Aliniadhibu mbele ya
vijana wasichana wengine.
Nilihisi vibaya hata
sikuzungumuza na mtu
baada ya kutoka shule
nilienda moja kwa moja
hadi nyumbani.”Alijibu
Priscilla.

K" ama ulikua na huzuni ungetuambia kilicho tendeka.

Sisi ni rafiki zako na tuko hapa kukusaidia.,"William
alisema.

“Ndio, Priscilla. Wakati nilikua na huzuni juma
lililopita,William na wewe minifanya nikafurahi tena
kwa kuniongelesha na kucheza na mimi. Unaweza
tuambia chochote utakacho. Sisi ni rafiki zako,”Caro
alisema.

U" ko sawa. Tayari

najihisi afadhali
baadaye ya kuzungumza
na nyinyi wawili.
Kuja wacha tucheze
kandanda kiasi sasa!"

"Yay! Sawa. Baada ya hiyo, tutakusaidia kufanya kazi
ya ziada pia."William alisema."
Priscilla alitabasamu alivyo gundua umuhimu wa
marafiki na anaweza wategemea kuwa naye siku zote.
Zaidi ya yote urafiki ni muhimu sana.

The End

www.tale-weavers.org


Click to View FlipBook Version